Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20230715_054605_Instagram.jpg
 
Princess Diana akiwa na baba mkwe wake, Mohamed Al Fayed. Huyu ndiye baba yake Dodi Fayed aliyekuwa mchumba wa Princess Diana.

Mwaka 1997 Diana na Dodi walifariki kwenye ajali ya gari huko Paris, Ufaransa wakati dereva wao alipokuwa akiwakimbia waandishi wa habari.

Mzee huyu anasema Diana na mwanaye walikuwa wamepanga kuoana na siku moja kabla ya kifo chao walikuwa wamepanga kuvishana pete za uchumba.

Baada ya kifo cha Diana, Mzee huyu alifungua kesi mahakamani akidai kwamba wapenzi hao waliuwawa, hata hivyo mahakama iliamua kwamba kifo cha Diana na Dodi kilisababishwa na uzembe wa Dereva.

Hata hivyo bado Mzee huyu anaamini kwamba mtoto wake aliuwawa na vyombo vya ulinzi vya Uingereza na anasema anaamini ipo siku mambo yatakuwa hadharani.

Mzee Mohamed ni mzaliwa wa Misri. Kwa sasa Mzee Mohamed ana umri wa miaka 94 anaishi Uingereza na muda mwingi amekuwa akiutumia kukaa pembeni ya kaburi la mwanae...!
Screenshot_20230716_134811_Instagram.jpg
 
Princess Diana akiwa na baba mkwe wake, Mohamed Al Fayed. Huyu ndiye baba yake Dodi Fayed aliyekuwa mchumba wa Princess Diana.

Mwaka 1997 Diana na Dodi walifariki kwenye ajali ya gari huko Paris, Ufaransa wakati dereva wao alipokuwa akiwakimbia waandishi wa habari.

Mzee huyu anasema Diana na mwanaye walikuwa wamepanga kuoana na siku moja kabla ya kifo chao walikuwa wamepanga kuvishana pete za uchumba.

Baada ya kifo cha Diana, Mzee huyu alifungua kesi mahakamani akidai kwamba wapenzi hao waliuwawa, hata hivyo mahakama iliamua kwamba kifo cha Diana na Dodi kilisababishwa na uzembe wa Dereva.

Hata hivyo bado Mzee huyu anaamini kwamba mtoto wake aliuwawa na vyombo vya ulinzi vya Uingereza na anasema anaamini ipo siku mambo yatakuwa hadharani.

Mzee Mohamed ni mzaliwa wa Misri. Kwa sasa Mzee Mohamed ana umri wa miaka 94 anaishi Uingereza na muda mwingi amekuwa akiutumia kukaa pembeni ya kaburi la mwanae...!View attachment 2689753
Hii imetulia kwa hio Mzee anakaa muda mwingi kwenye kaburi la mwanae hana watoto wengine? Shunie
✍️
 
Mlinzi wa Kulia Djuma Shabani amejiunga na Tp Mazembe ya nyumbani kwao DR Congo, ndoa ya Yanga SC na Djuma Shabani imevunjika bado taarifa tu .

Djuma hadi anasaini TP Mazemve hakukuwa na timu ya hapa nyumbani iliyokuwa na mahitaji na huduma yake kikubwa kikichangiwa na Kima cha mshahara wake kuwa kikubwa, kwa hivyo timu nyingi zimeogopa
Screenshot_20230716_155822_Instagram.jpg
 
Klabu ya RS Berkane imekata tiketi ya kucheza kombe la Shirikisho Barani Afrika msimu ujao baada ya kuifunga Raja Club Athletic goli 1-0 katika mchezo wa fainali ya kombe la FA nchini Morocco.

RS Berkane wamemaliza nafasi ya 6 katika ligi kuu nchini Morocco Botola Pro, huku Raja Casablanca ilimaliza
nafasi ya tano, timu zote hazikuwa na nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao, hivyo RS Berkane kwa kutwaa Ubingwa huyo sasa rasmi wanapata nafasi ya kushiriki michuano ya Shirikisho Barani Afrika msimu ujao.

Screenshot_20230716_160038_Instagram.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom