Yapi sasa unayoniambia?We mzee niamini tu ninayokwambia
Nikikukatalia kitu unakataaYapi sasa unayoniambia?
Sababu siaminiNikikukatalia kitu unakataa
Mwanafunzi wa Kidato cha Tano, Esther Noah wa Shule ya Sekondari Pandahili aliyepotea May 18, 2023 amepatikana katika chumba cha kupanga cha Mama Abdul kilichopo maeneo ya Ifisi Mbalizi Mkoani Mbeya na imebainika kuwa alipelekwa hapo na muuza mkaa aitwaye Baba Jose na kusema ni Mke wake hivyo anaomba hifadhi baada ya siku mbili angemchukua ili wakaishi wote.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya amesema Baba Jose baada ya kukaa na Mtoto huyo kwa muda alienda kumpeleka kwa Mama Abdul na kuahidi kwenda kumchukua siku atayapota chumba Ili wakaendelee kuishi pamoja.
Akiongea ofisini kwake ambako Binti huyo amepelekwa akiwa na Mama yake, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametoa rai kwa Walimu wa Pandahill kupunguza kasi ya kuchapa viboko Wanafunzi kwani ni miongoni mwa sababu inayoelezwa kuchangia Mtoto kukimbia Shule
Homera amesema vipimo vyote vya kiafya vimefanyika na Ester hana ujauzito na hivyo ataendelea kukaa na Maafisa ustawi wa jamii ili kumsaidia kumpa ushauri wa kisaikolojia arudi Shule, na Mwanaume huyo atasakwa mpaka akamatwe.
Amesema amepimwa pia kipimo cha mimba Ili kujua hali yake na majibu yameonyesha hana mimba na kwa siku zijazo akibainika ana mimba watampa nafasi ya kwenda kujifungua na kurudi Shule.
View attachment 2666925
Mmmmh baba JoseMwanafunzi wa Kidato cha Tano, Esther Noah wa Shule ya Sekondari Pandahili aliyepotea May 18, 2023 amepatikana katika chumba cha kupanga cha Mama Abdul kilichopo maeneo ya Ifisi Mbalizi Mkoani Mbeya na imebainika kuwa alipelekwa hapo na muuza mkaa aitwaye Baba Jose na kusema ni Mke wake hivyo anaomba hifadhi baada ya siku mbili angemchukua ili wakaishi wote.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya amesema Baba Jose baada ya kukaa na Mtoto huyo kwa muda alienda kumpeleka kwa Mama Abdul na kuahidi kwenda kumchukua siku atayapota chumba Ili wakaendelee kuishi pamoja.
Akiongea ofisini kwake ambako Binti huyo amepelekwa akiwa na Mama yake, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametoa rai kwa Walimu wa Pandahill kupunguza kasi ya kuchapa viboko Wanafunzi kwani ni miongoni mwa sababu inayoelezwa kuchangia Mtoto kukimbia Shule
Homera amesema vipimo vyote vya kiafya vimefanyika na Ester hana ujauzito na hivyo ataendelea kukaa na Maafisa ustawi wa jamii ili kumsaidia kumpa ushauri wa kisaikolojia arudi Shule, na Mwanaume huyo atasakwa mpaka akamatwe.
Amesema amepimwa pia kipimo cha mimba Ili kujua hali yake na majibu yameonyesha hana mimba na kwa siku zijazo akibainika ana mimba watampa nafasi ya kwenda kujifungua na kurudi Shule.
View attachment 2666925
Yaani ni Hobby mpya kwako tangu ulipo weka kambi hapa kwa makabwela (Makapuku)Hobby mpya? Labda kama umeanza kunifatilia juzi nipo makapuku miaka na miaka na hiki ndio huwa ninachofanya hapa.