Silvio Berlusconi amefariki dunia. Alikuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Italy. Katika siasa za kileo za Italy ndie Waziri Mkuu aliyekaa muda mrefu zaidi madarakani. Anaaminika kufanya mabadiliko makubwa katika siasa za Italy.
Katika uongozi wake Beluscon alikumbwa na kashfa mbalimbali ikiwemo rushwa,kufanya sex party pamoja na kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye umri mdogo na kuhukumiwa kifungo cha jela hata hivyo hakutumikia kifungo hicho kutokana na kuwa na umri mkubwa.
Belusconi alikuwa tajiri wa kutupwa huko Italy ndie alikuwa mmiliki wa klabu ya mpira ya AC MILAN na kampuni kubwa la uwekezaji la Fininvest. Beluscon ana utajiri unaokadiriwa kufikia Shilingi Trilioni 15 za Kitanzania.
Belusconi amefariki akiwa na umri wa miaka 86. Belusconi ameacha mjane,Marta Fascina ambaye ana umri wa miaka 33, waliowana mwaka jana...!
View attachment 2655444