Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Wananchi wanatinga fainali ya Azam Sports Federation Cup kwa msimu wa pili mfululizo, msimu uliopita walichukua ndoo mbele ya Coastal Union ya Tanga, msimu huu watacheza dhidi ya Azam FC kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Watachukua tena?
FT| SINGIDA BIG STARS 0-1 YANGA
️ Fiston Mayele
Kituo Kinachofuata ?
FT| SINGIDA BIG STARS 0-1 YANGA
️ Fiston Mayele Kituo Kinachofuata ?
