Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
Serikali ya Uholanzi imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi ikiwemo kuinua sekta ya kilimo cha mbogamboga ili iweze kuleta tija.
Akizungumza leo Alhamisi Machi 9,2023 katika uzinduzi wa programu iliyolenga kuinua na kukuza kilimo cha mbogamboga katika mikoa ya Kaskazini (Nohied), Balozi wa Uholanzi hapa nchini,Wiebe De Boer amesema wataendelea kushirikiana na Tanzania hasa katika sekta hiyo ili izidi kukua na kuongeza uchumi.
"Mradi huu utasaidia elimu inayotolewa kwenye vyuo vya ufundi kuakisi mazingira ya kisasa na kuwajengea wahitimu stadi husika za ujasiriamali ambapo pia tutashirikiana na Chuo cha mafunzo ya kilimo, mbogamboga, maua na matunda cha Tengeru," amesema.

️ Saliba 22’
Mechi 7
Ushindi 0
Magoli ya kufungwa 7
@rabbihume