Huyo Katumbi atulie. Au akamchukue Mgunda 😅😅😅Taarifa zinaeleza klabu ya TP Mazembe [emoji1078] imeweka nguvu kutaka kumpata kocha mkuu wa Yanga, Mtunisia [emoji1249] Nasreddine Nabi.
.
Tajiri Moise Katumbi wa TP Mazembe anadaiwa kumtaka kocha huyo baada ya kufanya usajili mkubwa ambao anaona bado haujazaa matunda kimataifa.
View attachment 2540002
Hapana acha amchukue nabi wenu anayemtakaHuyo Katumbi atulie. Au akamchukue Mgunda [emoji28][emoji28][emoji28]
🤣🤣🤣Hujambo?Makubwaaaa usingeniita auntie woiiii ningejua tu new member hivi una nini lakini auntie
Mzee Mpili kashasema. Achaneni na Nabi, nendeni "dugo" (google) 😅😅😅Hapana acha amchukue nabi wenu anayemtaka
Sijambo bwanah una nini lakini ngoja kikuu wako aje ajue pisi mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hujambo?
[emoji1787] Ila yule mzeeMzee Mpili kashasema. Achaneni na Nabi, nendeni "dugo" (google) [emoji28][emoji28][emoji28]
Bongo kila mtu comedian 😅[emoji1787] Ila yule mzee