Vitu fulani amazing kama ya kaka R๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Yani hapo kwa wanyakyusa usingetaja pua ningeshangaa
Hivi una nini na pua za wanyakyusa
Hivi kusomea mwisho miaka mingapi auntie?Serikali imesema hapa nchini kuna takribani Marubani 106 kati ya hao Marubani 11 ni Wanawake na 95 ni Wanaume na hao Wanawake wana uwezo wa kurusha ndege zote.
Kati ya hao 106, Marubani 105 wote ni Watanzania na mmoja tu ndio ambaye si Mtanzania, takwimu hizo zimetolewa Bungeni Dodoma leo February 6, 2023 wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete amejibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum, Angelina Adam Malembeka ambaye alitaka kujua hadi sasa Tanzania kuna Marubani wangapi.
View attachment 2508659
Auntie mnichangie hela, nawaahidi sitokunywa pombe.Moja kati ya habari kubwa tulizoanza nazo mwaka huu ni huduma ya kuwekewa puto tumboni kwa ajili ya kupunguza uzito ambayo inatolewa Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila na tayari Mwimbaji Peter Msechu @peter_msechu amebainisha kupungua kilo saba, siku 7 tu baada ya kuwekewa puto katika Hospitali hiyo ili kumsaidia kupunguza uzito mwilini mwake.
@ayotv_ imefika hadi Hospitali ya Taifa ya Muhimbili - Mloganzila na kupata fursa ya kuona Mtu akiwekewa puto pamoja na kuongea na Madaktari ambao wameelezea mengi tusiyoyafahamu kuhusu huduma hiyo.
โGharama za kuwekewa puto ni Tsh. Milioni 4.2 na tayari tumeshawawekea Watu 34 wakiwemo Watu maarufu ambao wengine hawajataka kujitangazaโ
Madaktari wanasema ukiwekewa puto likiwa tumboni unaweza kufanya mazoezi na sarakasi nyingine zozote ila hautoruhusiwa kunywa bia na soda kwakuwa ukinywa vinaathiri puto na linaweza kupasukaโฆ kuitazama video hii kwa urefu ingia Youtube ya MillardAyo.
View attachment 2508658
NdiwooHahaha mmatumbi tena
Vitu fulani amazing kama ya kaka R
Inategemea unataka kujifunza nini kama ni ungo miezi miwili tu inatoshaHivi kusomea mwisho miaka mingapi auntie?
Halafu kuna story mpya entertainment ya Steve mollel sema inatisha ukisoma usikuInategemea unataka kujifunza nini kama ni ungo miezi miwili tu inatosha
Ni kweli hata dada yako Mnys hana pua ya kinyakyusa.
Siyo wote wana pua hizo, sema labda wewe tu ndio umekutana na sisi wenye pua kama tundu za bunduki, ila wapo wengi tu pua zao zimekaa vizuri
Kama yule Rafiki yako SM
Woooi!! Yaani ungo miezi miwili yote hiyo๐ณ๐ณ๐ณ๐ณInategemea unataka kujifunza nini kama ni ungo miezi miwili tu inatosha
Kwanza mbinguni tutapewa miili isiyo na vitambi
We auntie jamani kwani hayo maputo ni haya ya kawaidaHivi nikienda na puto langu bei haipungui?