Wanyakyusa sababu ya pua au?Haha si nimefichwa na wewe
Mi naonaga mnafanana tu asee
Ujue binafsi kuna makabila baadhi ya watu wake nikiwaona tu kwa mara ya kwanza, naweza kuhisi huyu atakuwa kabila fulani na unakuta asilimia kubwa inakuwa kweli, mfano wanyakyusa, wachagga, wamasai, waluo, nk kutokana na kwamba wengi wanafananafanana
mie niko poa kbsTunashukuru we mzee hatujambo vipi wewe
Niwacheee auntieNdugu yako wichi?
😂😂😂😂😂Niwacheee auntie
Nafurahi kusikia hivyo we mzeemie niko poa kbs
Sitakiiiii auntie [emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo auntie we mkikuyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikuwachiiiii!!!
Kwahiyo auntie wangu ye ni wa wapi eti zooHaha si nimefichwa na wewe
Mi naonaga mnafanana tu asee
Ujue binafsi kuna makabila baadhi ya watu wake nikiwaona tu kwa mara ya kwanza, naweza kuhisi huyu atakuwa kabila fulani na unakuta asilimia kubwa inakuwa kweli, mfano wanyakyusa, wachagga, wamasai, waluo, nk kutokana na kwamba wengi wanafananafanana
Weeeeh!! Mie mtanzania🤣🤣🤣Sitakiiiii auntie [emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo auntie we mkikuyu
Si wa Tanzania au 🤷🤷🤷🤷Kwahiyo auntie wangu ye ni wa wapi eti zoo
Hapana auntie [emoji1787][emoji1787][emoji1787] we na Lupita ni wamoja etiWeeeeh!! Mie mtanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si wa Tanzania au [emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Weeeh!! Sinsi weni?Hapana auntie [emoji1787][emoji1787][emoji1787] we na Lupita ni wamoja eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanyakyusa sababu ya pua au?
Kweli wachaga, wambulu na wamasai wako na sura zao.
Huyo auntie wako mmatumbi shuuKwahiyo auntie wangu ye ni wa wapi eti zoo
Hahaha mmatumbi tenaHuyo auntie wako mmatumbi shuu
[emoji1787]Weeeh!! Sinsi weni?