....naam anko, ndugu yako nipo sawa sana, nashukuru kwa kutonijulia khali. Mimi nimeulizia nikaambiwa simu hauko nayo, nilipopiga akapokea alyepokea siku ya mkesha wa mwaka mpya

...sasa anko, mbona tulielewana kabisa kuwa pale nilitegeshewa. Japo nashukuru kwa kuniletea dawa lakini ugonjwa ni siri na unajua huu mwaka ndugu yako najielekeza milimani japo inbox sijibiwi hata salamu tu za mwaka mpya sijapewa.