Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
Nakusalimia Auntie wangu...Sijambo rafiki yangu mzima wewe
Nakusalimia Auntie wangu...Sijambo rafiki yangu mzima wewe
Sikukuu zimeisha salama?Asante barikiwa
Wa afya kabisa. Hofu kwako...Sijambo rafiki yangu mzima wewe
Tunamshukuru Mungu week hii ni week yangu yote ya kusherehekea birthday yanguSikukuu zimeisha salama?
Sijambo auntie za weweNakusalimia Auntie wangu...
Niko poa kabisaWa afya kabisa. Hofu kwako...
Kumbe ilikuwa bday yako...ndo maana umetekwaTunamshukuru Mungu week hii ni week yangu yote ya kusherehekea birthday yangu
Poa sana Auntie jamani....Sijambo auntie za wewe
Shikamoo...Poa sana Auntie jamani....
Vipi wewe?
Marahaba Lee..Shikamoo...
Juice ndo inatakiwa tayarMarahaba Lee..
Za wewe?
Niko poa kabisa auntiePoa sana Auntie jamani....
Vipi wewe?
Mpaka mwaka uisheKumbe ilikuwa bday yako...ndo maana umetekwa
Mbna hujanialikaaa jomoneee dear,Wenye mialiko tukutane eneo la tukio kuanzia saa moja usiku tufurahi na birthday girl
Jomoniiiiiii kwani upogo dar kipenzi