Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limesema katika kipindi cha January hadi December, 2022 Jeshi hilo limekabiliana na matukio ya moto 1854 yaliyosababisha vifo vya Watu 32 na majeruhi 66.
“Tulifanikiwa kufanya uokoaji katika maeneo 567 ikiwa ni pamoja na maeneo ya migodu, mashimo ya vyoo, ajali za barabarani, mafuriko, Mito, Mabwawa na Baharini”
“Matukio hayo yalisababisha vifo na majeruhi 1,010, matukio makubwa yaliyovuta hisia kwa wananchi na Taifa kwa ujumla ni pamoja na kuungua kwa soko la Karume na Vetenari yaliyopo Jijini Dar es Salaam, ajali ya Ndege ya Kampuni Ndege la Precision Mkoani Kagera, ajali ya gari la shule ya Msingi ya King David Mkoani Mtwara na kuungua kwa Mlima Kilimanjaro”