Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji981] LUIS JOSE MIQUISSONE ::
.
“Kama nitarudi Tanzania nitakuja kucheza Simba, siwezi kwenda klabu nyingine nisikilize mimi. Nimesikia mambo mengi kwenye mitandao lakini muda utaongea. Nikisema nizungumze kiundani zaidi yanaweza kutafsiriwa tofauti.”