makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,572
Shunie waswahili wanasema, mambo yakienda kombo, yaache usiende nayo...tugange yajayo aunt, achana na mabaya yangu, tafuta lile moja zuri halafu ndiyo uliuze kwa Maki, yaani hilo zuri moja (kama lipo) lipeperushe kama shahada ya mama. na nikikubaliwa tu basi nakufanyia mchongo na wewe unapata PHD.
Majina yenyewe yamekaa kinongwa nogwa, majina yana herufi 3, mafupi kama tunguri za mganga 😂
Angekuwa wa kike kweli jina tayari tunalo...
Ila wa kiume hayo majina hapo Usijaribu
Mkuu congratulations once again ...
Kabisaaaa
Angekuwa wa kike kweli jina tayari tunalo...
Ila wa kiume hayo majina hapo Usijaribu
Majina yenyewe yamekaa kinongwa nogwa, majina yana herufi 3, mafupi kama tunguri za mganga
Hongera sana mkuu binafsi napenda sana watoto wa kiumeNdugu zangu, namshukuru Mungu nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume
Shemeji yenu, wifi yenu, shangazi yenu a aendelea vizuri.
Mkimuona obe, mumpe taarifa
Makapuku ni familia yangu.
Happy new month dear auntyWishing you Happy New Month watu wa Taifa la Mungu....
Baraka tele.
Unataka kusema nimuite lee!? 🤔Mkuu congratulations once again ...
Hapo kwenye majina mkuu🤣🤣🤣 Obe Mtoe kabisaa , asije kubeba tabia zake
Ahsànte sana mkuu.
Au nijumuishe liwe jin moja aitwe obeLee au LeeObe 😂
Si ndiyo
Lee hapana mwenyewe kuna mda najikataa...sembuse huyo angelUnataka kusema nimuite lee!?
Itakuwa changamoto ...Au nijumuishe liwe jin moja aitwe obeLee au LeeObe
Una lolote la kusema kabla sijadai juisi
Na wewe piaWishing you Happy New Month watu wa Taifa la Mungu....
Baraka tele.
Na wewe pia
Vicoba mnavunja lini nipate juisi
Bora huyu mtoto aitwe makaveli Jr.Lee hapana mwenyewe kuna mda najikataa...sembuse huyo angel
Itakuwa vizuri mkuuBora huyu mtoto aitwe makaveli Jr.