Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimekuhamu pia Uncle...

He he he...Kwamba unataka kwenda 'Tisiaraei'wakupe namba Uncle[emoji28]
Check tu na Shunie amalize hiyo maneno...
...huyu ni aunt yangu kabisa lakini kuipata labda nikatambike, tuna ugomvi wa korosho. Nilimtumia kwa basi la Wifi Naye, dereva akampa bodaboda mzigo wote kumbe boda naye alikuwa na biashara ya kashata, korosho za zawadi akafanyia mtaji
 
Back
Top Bottom