Makapuku Forum

Nimekuhamu pia Uncle...

He he he...Kwamba unataka kwenda 'Tisiaraei'wakupe namba Uncle

Check tu na Shunie amalize hiyo maneno...
...huyu ni aunt yangu kabisa lakini kuipata labda nikatambike, tuna ugomvi wa korosho. Nilimtumia kwa basi la Wifi Naye, dereva akampa bodaboda mzigo wote kumbe boda naye alikuwa na biashara ya kashata, korosho za zawadi akafanyia mtaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…