Hatujambo auntie habari ya wewe apoooWatu wangu wa Makapuku...
Mnaendeleaje?
Habari za mimi hapa salama kabisa Auntie wangu...Hatujambo auntie habari ya wewe apooo
Tunakumiss pia auntie jamaniHabari za mimi hapa salama kabisa Auntie wangu...
Nawamiss tu.
Ahsante Auntie wangu...Tunakumiss pia auntie jamani

...umri wangu umeshapita muda wa kuambiwa nikuulize swali ila unaniruhusu kusema na kueleza
upo mrembo? Nani kakuteka?Watu wangu wa Makapuku...
Mnaendeleaje?
....mimi ninaendelea vizuri, nimekuhamu sana tu. Hivi nikisema niende TCRA nikalalamikie bundle na kuwaomba namba yako, watasikiliza shida zangu?Watu wangu wa Makapuku...
Mnaendeleaje?
Santeee binamu...umri wangu umeshapita muda wa kuambiwa nikuulize swali ila unaniruhusu kusema na kueleza