Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,942
- 15,707
Hahhaha uko pm unagawa niniCheupe karibu pm
Pole Auntie wangu....Nakupenda pia auntie yangu [emoji3059][emoji3059] sasa auntie leo mbona naona kama haitawezekana kesho asubuhi naingia kazini asubuhi mama si nitakuwa teja jamanii [emoji1787][emoji1787]
Oooooooh!!!Happy birthday auntie makiii [emoji3059][emoji3059] Mungu wangu azidi kukubariki kwa kila unachofanya, na kukupa umri mrefu zaidi uje kuona wajukuu zako [emoji120][emoji847] shunie mimi nakupenda sana [emoji7] Makiwendo
Ahsante Shem lake...Happy birthday kwake......
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahhaha uko pm unagawa nini
Yaaani...Bora jf mmeturudishia notification kwenye app jamani toka may mtu hupati notification mbarikiwe
Hivi kumbe hili suala lilikua ni kwa wote, nilifikiri ni mimi tu labda kuna sehemu nili bofya nikaharibu settings za app yangu [emoji1787][emoji117] basi wamefanya la maana sana kweli leo ni siku kama ya 3 napata notifications zote za Jf kote niliko chungulia.Bora jf mmeturudishia notification kwenye app jamani toka may mtu hupati notification mbarikiwe
Raha sana auntie wamejua kututesaPole Auntie wangu....
Naona watu wa App. Notifications zimerudi jamani....Raha siyo raha[emoji23]
Ameen auntie [emoji120][emoji120]Oooooooh!!!
Auntie jamani...
Ahsante Auntie kipenzi...
Na Iwe hivyo IJN....Mungu na anipe umri mrefu kwa kweli... nione watoto wa watoto wangu.
Nakupenda tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata sijui nacheka niniAhsante Shem lake...
Zawadi naichukulia wapi sasa?
Maaana mambo ni mengi na masaa ni machache[emoji1787]
Yaani auntie nimeitwa kwa unyenyekevu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo msg ya kuitwa PM nimecheka Auntie..
Kwa kila mtu hili mkuuHivi kumbe hili suala lilikua ni kwa wote, nilifikiri ni mimi tu labda kuna sehemu nili bofya nikaharibu settings za app yangu [emoji1787][emoji117] basi wamefanya la maana sana kweli leo ni siku kama ya 3 napata notifications zote za Jf kote niliko chungulia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata sijui nacheka nini
Mwisho wa mwaka huu Auntie..Yaani auntie nimeitwa kwa unyenyekevu sana
Yaani auntie niacheee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] KwambaMwisho wa mwaka huu Auntie..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani auntie niacheee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimesema tu...[emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba