Binafsi hiyo style hainivutii hata kidogo 😂Huku kwetu makumbusho wamejaaa jamani
Wenyewe wanazipenda sijui huwa wanajikuta nani na midevu yaoBinafsi hiyo style hainivutii hata kidogo [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]ningekuwepo zama hizo hakika ningejuta kuwa na uchebe mimi
Ukistaajabu ya musa, utayaona ya firauni[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]View attachment 2414311
[emoji2][emoji2][emoji3]dunia imetoka mbali
Nimekumiss pia Uncle wangu jamani....
Nakupenda Auntie...Asante binamu yangu kwa kushukuru, ngoja nimpigie simu makii nimpe ujumbe wako.
Nakupenda pia auntie yangu [emoji3059][emoji3059] sasa auntie leo mbona naona kama haitawezekana kesho asubuhi naingia kazini asubuhi mama si nitakuwa teja jamanii [emoji1787][emoji1787]Nakupenda Auntie...
Kesho simu ziite mapema basi lile jambo letu Mama...
Asante sana kwa kushukuruAsante shunie kwa magazeti na Je Wajua
Ubarikiwe sana
Amen na kwako pia[emoji120]Asubuhi iwe njema kwa wanajumuiya wote wa Makapuku na Jamii Forum.
Mungu Yu Mwema. Tumkumbuke kwa Ibada
Amen.
[emoji120][emoji120] Asante kwa kutukumbusha na kwako piaAsubuhi iwe njema kwa wanajumuiya wote wa Makapuku na Jamii Forum.
Mungu Yu Mwema. Tumkumbuke kwa Ibada