Makapuku Forum

Makapuku Forum

Oooooooh!!!
Auntie jamani...

Ahsante Auntie kipenzi...
Na Iwe hivyo IJN....Mungu na anipe umri mrefu kwa kweli... nione watoto wa watoto wangu.

Nakupenda tu.
...belated birthday wishes. I know you had tons of them (wishes) yesterday and guess who is thinking of you today? yeah, u guessed it right, me, that's who. Let Love Be U.

In case anko Lee anashangaa, atakujalisha kila wakati mimi ni wa mwisho kujua, and am not out of touch, sinaga tu bahati ya kujulishwa
 
Qatar-2022-s-32-teams-graphic

wiki moja kabla ya ruhusa za kuchelewa kurudi kuanza. Tunaelewana ambao tuna vitambulisha vya NIDA
 
Happy birthday auntie makiii [emoji3059][emoji3059] Mungu wangu azidi kukubariki kwa kila unachofanya, na kukupa umri mrefu zaidi uje kuona wajukuu zako [emoji120][emoji847] shunie mimi nakupenda sana [emoji7] Makiwendo
Birthday njema kwake, ikiwezekana hata watoto wa wajukuu wake awaone akiwa na amani .
 
Back
Top Bottom