Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si ni ndiyo Auntie...Wanasema eti havina matumizi makubwa[emoji3]

Auntie Nimekumiss hapa jamani...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasemaga ukitumia sana elfu 20 haifiki sasa sisi vibibi gagula watatuweza wapiii kazi inaanza tunakunywa heinekenn bado mengineyo lazima watuchukie

Auntie nimekuwa mvivu makapuku sijui ndio uzee kuna mda naingia natoka kutype nashindwa yaani nimekuwa mvivu kutype hakuna kitu naomba kama jf waweke opt ya vn yaani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie nimecheka hadi koo limeuma...kwamba picha linaanzia kwenye Heineken...na local beer tutaumwa matumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waaah!!!
Ujue Aunti hao havina bills za kulipa... life yao haina matumizi makubwa..

Nakuelewa vyema Auntie...Kuna wakati hata kutype ni shida.. sasa wakiweka VN mimi na hiki kigugumizi itakuwaje lakini?[emoji3]maana wewe nakujua ndiyo mambo yako.. itabidi niingie tu kwenye VN...
 
shangazi Shunie unakunywaga heinken ngapi .ukiamua
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie nimecheka hadi koo limeuma...kwamba picha linaanzia kwenye Heineken...na local beer tutaumwa matumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waaah!!!
Ujue Aunti hao havina bills za kulipa... life yao haina matumizi makubwa..

Nakuelewa vyema Auntie...Kuna wakati hata kutype ni shida.. sasa wakiweka VN mimi na hiki kigugumizi itakuwaje lakini?[emoji3]maana wewe nakujua ndiyo mambo yako.. itabidi niingie tu kwenye VN...
swahiba na ww unapiga heinken ngapi ndo unakua vzr au wewe hupigi hz unakula savanah
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie nimecheka hadi koo limeuma...kwamba picha linaanzia kwenye Heineken...na local beer tutaumwa matumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waaah!!!
Ujue Aunti hao havina bills za kulipa... life yao haina matumizi makubwa..

Nakuelewa vyema Auntie...Kuna wakati hata kutype ni shida.. sasa wakiweka VN mimi na hiki kigugumizi itakuwaje lakini?[emoji3]maana wewe nakujua ndiyo mambo yako.. itabidi niingie tu kwenye VN...
Mtu asiyekuzoea anaweza jua huyu kaniona mimi ndio anajishaua kunywa heinekenn kumbe ndio kinywaji chetu hata nikiwa peke yangu ndio ninachokunywa acha waendelee tu kukimbizana na watoto
 
Watazikwa pamoja...!
Leo Malkia wa Uingereza anazikwa. Maziko binafsi ya kifamilia yatafanyika saa 1 na nusu jioni kwa saa za Uingereza.

Maziko hayo yatatanguliwa na Mazishi ya kitaifa. Malkia atazikwa kwenye kanisa la Mtakatifu George. Atazikwa pamoja na mume wake prince Philip ambaye amezikwa sehemu nyingine katika kanisa hilo hilo.

Mabaki ya mwili wa Prince Philip yatatolewa sehemu alipo kupelekwa sehemu ya Altare ambapo ndipo wana ndoa hao watazikwa pamoja. Wakati mwili wa Malkia unaingizwa Kanisani yatasomwa maneno kutoka katika Biblia yasemayo, " Kwa maana hatukuja na kitu duniani, tena hatuwezi kutoka na kitu;

BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA lihimidiwe." Malkia Elizabeth alifariki tarehe 8 September huko Balmoral, Scotland. Ameacha utajiri unaokadiriwa kufikia trilioni moja na bilioni kadhaa, zote zitarithiwa na mwanaye, Mfalme Charles mume halali wa Malkia Camilla
Screenshot_20220919-100514_OGInsta%2B.jpg
 
Ndiyo Auntie[emoji1787][emoji1787]
Sasa nifanyeje jamani...Life imenifikisha hapo Auntie...

Nachanganya na Sprite... burudani...

Uje nikufundishe[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana aiseee me kichwa yangu hii nitavua nguo nikishafikisha chupa ya 5 akili yangu inabadilika nakuwa shunie wa Europe najiamiani sina chochote naogopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umenifanya nikumbuke kitu Auntie[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo kichwa tutaicontrol... na Imagine hiyo kitu hata siyo kali kama vingine...

Siku nikuonesha ka kituuuuu[emoji1]
 
[emoji1787][emoji1787] auntie hapana baki nayo tu mwenyewe halafu si huwa mnamiminiwa kiduchu kwenye glass mnawekewa na vipande vya lemon
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeeeeh!!!!...ila hiyo nimeonjeshwa siku za karibuni Auntie...Nikaipenda....

Sasa nikiamia huko WH nitamuachia nani Auntie..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa tule tuduchu jamaniii mnawezaje auntie si mpige fundo moja hapana jamani vingine hivyo acha niwe mtazamaji tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaweza kuongeza Auntie....
Mimi hiyo nilikunywa kwa mtu alikuwa na ile chupa.. Nikachanganya na Sprite..sikutumia lemon..
 
Lakini auntie si unalewa haraka jamani kali sana ile na taste yake sio chungu kama whisky woiiiii mapombe makali yamenishinda mimi yaani siyawezi hata mdomoni harufu naweza tapika
 
Back
Top Bottom