hahahahaha.aucle kuwa na amani. Mie mjomba na mjomba mama.kwann binti asifurahie neno la mjomba ake
aisee usiombe uwekewe 'kindege' ni noma swahiba
Swahiba nimecheka sana....
Na Uzee huu 'Kindege' siyo poa Swahiba..
hahahahaha.tatizo aucle anawazia jambo lake tu.
Mjomba ni Mama Swahiba..hana madhara
Mkuu,hahahahaha.tatizo aucle anawazia jambo lake tu.
hahahahahaha.mm bana uzee unanijia vby shangazi
Wengine sisi kupenda ugonjwa.na ukipenda na kawivu kako. Si nitakufa na presha ?
aisee usiombe uwekewe 'kindege' ni noma swahiba
Uncle atulizane...mwambiehahahahaha.tatizo aucle anawazia jambo lake tu.
Mkuu,
We acha tu, kuna vitu mungu akikupa utavitunza hata kwa mkono wa chuma...hahaha! We acha tu mzee!!
Kumbe we binti ulishawekwa mtu kati humu...hahaha!!
Kasema yeye ni mjomba....we mzee unakuwaga na wivu woiiii ndio unataka kuanza kwa auntie yangu makiii
Auntie hata wewe unachocha?
Aki Auntie... Si nicheke
Mlete Mzunguuuuu..
Hebu Achana na hizo Heineken unakunywa hapo Auntie....
Tulale...
Sasa auntie nifanyeje mambo kwa ground ni tofauti
We kuwezaaaa hizi mambo zilinishinda aiseee me mwenyewe nacheka na kila mtu mpaka machiziImagine niache kusalimiana kama hivi na Swahiba hapa.... Si nitaumwa homa
hahahahaha.aku hili aje mwenyewe aoneUncle atulizane...mwambie
Mimi sio mjomba, wajomba wapo migombani wanapambania kombe huko, mie uncle. Ukishindwa kunitunzia jambo langu tunavunja undugu..haha!
Alooooooh!!!kesho nikitoka jon napitia kb hotel auntie kuna mtu naena kuonana naye sijui nitarudi saa ngapi kijijini kwangu na kesho kutwa naingia asubuhi