Makapuku Forum

Baadhi ya watumishi wa umma wakitoa heshima zao wakati gari lililobeba jeneza lenye mwili Malkia Elizabeth II, likipita katika kijiji cha Ballater, Scotland kutoka katika kasri la Balmoral leo Septemba 11, 2022.

Jeneza hilo litasafirishwa kwa barabara kupitia miji na vijiji mbalimbali vya Scotland ili wananchi na watumishi wa umma watoe salamu zao za mwisho kwa aliyekuwa mtawala wao wa muda mrefu.

Mwili wa Malkia, ambaye alifariki Septemba 8, utapelekwa Ikulu ya Holyroodhouse katika mji mkuu wa Scotland, Edinburgh kabla ya kulala katika Kanisa Kuu la St Giles, kisha ya kusafirishwa kwenda jijini London kwa mazishi yatakayofanyika Septemba 19, mwaka huu.

 
hawa jamaa niliwakukutana nao,nikaongea nao deal,kilichofuata hadithi
 
Aliyeandika hapa ni shangazi? Basi naomba kuwa mjomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila we mzee bwana halafu hatujakuitaa huku umekujaje yaani na tukikuita ukatufokea hutaki kuja
Hahaha, we mtoto niache hujui nikimuona Makiwendo na mwandiko wake nywele zinasisimka[emoji1787][emoji1787][emoji1787], hapa niliona kwenye subscribed hata sikujua ni huku kwa makapuku, siji tena!!
 
Hahaha, we mtoto niache hujui nikimuona Makiwendo na mwandiko wake nywele zinasisimka[emoji1787][emoji1787][emoji1787], hapa niliona kwenye subscribed hata sikujua ni huku kwa makapuku, siji tena!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuambia hivi....

Ukiacha kupita hapa...niite nyau nipo hapa....
Hata kimya kimya tu Mzee mwenzangu....siyo kesi[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…