Sisi hapaNdugu zangu
Hamna mtu wa kujiua humu 😂🤣Hulda Daudi (25), ni Msichana aliyefeli kidato cha nne na kuja Dar es salaam kutafuta maisha akitokea Morogoro baada ya Baba yake kufariki na kumuachia mzigo wa kumtunza Mama yake pamoja na Wadogo zake.
Akiwa Dar es salaam aliajiriwa saluni kisha baadaye akapata mtaji wa kufungua saluni yake karibu na alipopanga, Tabata kwa Swai, mzigo wa majukumu ya Kifamilia ukamfanya akope fedha kwa zaidi ya Watu watatu wanaokopesha kwa riba ili akuze mtaji lakini mambo yameenda tofauti na amejikuta na madeni mengi, akaamua kujiunga na VICOBA viwili na kote anadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 3.
Hulda ameiambia @ayotv_ kwamba wanaomdai wanamsumbua hadi anapoishi, wapo waliomfungulia kesi Polisi, wapo wanaompa vitisho, hawezi tena kufungua ofisi maana kila akifungua wanaomdai hufika na kumfanyia vurugu, amekuwa ni Mtu wa kulia na kuwaza, anakosa hata hela ya kula, ameuza vitu vyake vingi huku akifikiria hata kujiua “Kuna wanaonidai wanasema wataniroga, naogopa, nisaidieni kwa pesa au hata ushauri, msisubiri nijiue muanze kunililia”
Namba zake ni 0675552385
0629630099 ( Hulda Daudi Ramsey)…. simulizi yake nzima ipo Youtube ya millardayoView attachment 2351704
NimewamissiSisi hapa
Hivi unayajua madeni nimemuelewa sana huyo dada achana na wadada wa vicoba uwe unadaiwa utajutaHamna mtu wa kujiua humu [emoji23][emoji1787]
Tumekumiss pia mwaya karibu sanaNimewamissi
Nishatimba.. Nisaidie maji ya kunywa kwanza nipoze kooTumekumiss pia mwaya karibu sana
Sasa ndio apige mikwara tumsaidie kabla hajajiua 😂Hivi unayajua madeni nimemuelewa sana huyo dada achana na wadada wa vicoba uwe unadaiwa utajuta
Haya ngoja nikuleteeNishatimba.. Nisaidie maji ya kunywa kwanza nipoze koo
Roho ya kujiua inamuandama huyu Mungu amsaidie tuSasa ndio apige mikwara tumsaidie kabla hajajiua [emoji23]
Sasa akifa huyo chalz nani atakuwa mfalme wakati hajazaa!?Huyu ndie Camilla, kutoka mchepuko mpaka Malkia.
Maisha ya ujana ya Chalesi ambaye sasa ni Mfalme wa Uingereza hayakuwa tofauti na maisha ya wanaume wengine.
Licha ya kwamba alikuwa kwenye ndoa lakini alikuwa na mchepuko wake waliyekuwa wamegandana kama ruba. Pengine kabla ya ndoa zao za mwanzo Camilla na Charles wangeowana, hata hivyo wazazi wa mwanaume waliona kwamba Camilla hakuwa mke wa kuolewa na Mfalme mtarajiwa.
Camilla aliolewa na mume wake wa kwanza mwaka 1973. Katika ndoa yake alibahatika kupata watoto wawili. Inadaiwa kwamba wakati Camilla akiwa kwenye ndoa yake bado alikuwa na mahusiano ya nje na Prince Charles.
Migogoro iliibuka kwenye ndoa yao ukizingatia kwamba wote wawili walikuwa kwenye ndoa nyingine za Kikristu, Camilla akiwa na ndoa ya Kikatoliki na Charles ndoa ya Anglikana. Mwaka 1994, Camilla alitalakiana rasmi na mume wake wa kwanza, Andrew, baada ya kuishi kwenye ndoa kwa muda wa miaka 21.
Hata hivyo waliiambia mahakama kwamba walikuwa wametengena kwa muda mrefu. Camilla aliolewa na Charles mwaka 2005. Kwa sasa Camilla ni Malkia. Camilla ana umri wa miaka 75 na Mfalme Charles ana umri wa miaka 73.
Katika hii ndoa yao bado Camilla hajabahatika kupata watoto na Mfalme Charles. Hata hivyo Mfalme Charles ni baba wa ubatizo wa mtoto wa kwanza wa Camilla.
View attachment 2351522
Ahsante, Wengine wako wapi, naona jumba lote hili uko pekee yako!?Haya ngoja nikuletee
Watakuja tuAhsante, Wengine wako wapi, naona jumba lote hili uko pekee yako!?
Si watarithi mtoto mmoja wapo aliyezaa na dianaSasa akifa huyo chalz nani atakuwa mfalme wakati hajazaa!?
Basi taarifa imeandikwa vibaya, nimesoma kuwa hajazaa.. Kumbe ni na huyu camilla. 😂Si watarithi mtoto mmoja wapo aliyezaa na diana
Sawa, nafika hapo kwa mzee mwalubadu, nitapitia na kwa obe pia kumuoana ni muda mrefu saana, nikija nikuletee zawadi gan?Watakuja tu
Ye na Camilla ndio hawajazaaa ila Charles ana watoto na Diana na Camilla ana watoto kwa mume wake wa kwanzaBasi taarifa imeandikwa vibaya, nimesoma kuwa hajazaa.. Kumbe ni na huyu camilla. [emoji23]