Makapuku Forum

Makapuku Forum

03fccbdc9b6facefcf65b299366ed435.jpg
Panadol Na Cake 1 (PNC 1)
Umeona matokeo ya KIMBA SC[emoji780]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
.........
 
Man u kushinda jana sio kitu cha ajabu sana!! Coz hata saa mbovu kuna wakati inakua ipo sawa!!
Yaani kama saa itasimama leo asubuhi saa 4 kamili basi kesho yake ikifika saa 4 kamili asubuhi itaonyesha ipo sawa tu japo haitembei...
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
23484af307f055b07f93410a200b6db8.jpg
ba895846016ae099c382c9341c11fc3c.jpg
 
Back
Top Bottom