Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Wasalimie kigoma mkuu![]()
Dodoma train station hiyo....naelekea Kigoma kupiga kamchongo from Joto City
Network shida maporini
.........
Wasalimie kigoma mkuu![]()
Dodoma train station hiyo....naelekea Kigoma kupiga kamchongo from Joto City
Network shida maporini
.........
Njema habari za wewe?Habari za usiku wakuuu.....
Safi, habari ya usiku mkuuHabari za usiku wakuuu.....
Ase unleteee na mieeeNimeenda kufuata dawa ya mapenzi
![]()
![]()
![]()
........
Jumapil ni njema my wiiSalama wifi,
Habari ya jumapili....
leo sikwenda ndugu yanguNiko vzuri kwa kweli
Leo mepata taarifa hukwenda church

Nipo halafu nilikutag sijui umeona???jimena ako wap leo
Nataka nitembee na QUEEN KAPUKUZ woteAse unleteee na mieee
Safar njema
Kumbe umeona eehHahahah
Asanteeee
Asantr kwa makupuku wenzangu pia
HahahahaNataka nitembee na QUEEN KAPUKUZ wote
![]()
![]()
![]()
.........
Shem Acha kabisa
Itakuwa ulinifananisha tuTunashukuru...
Njema boss niaje
Nlimouna sehemu Fulani hivi alienda kununua sukari
Naweza nikakuweka kwenye chai?Itakuwa ulinifananisha tu
Iam too sweet to add more sugar