Makapuku Forum

Makapuku Forum

c9345744fe04aa22c98d3abc23b60d6f.jpg

Nauli sh 100.....wanafunzi sh.50
.....,........
 
Man u kushinda jana sio kitu cha ajabu sana!! Coz hata saa mbovu kuna wakati inakua ipo sawa!!
Yaani kama saa itasimama leo asubuhi saa 4 kamili basi kesho yake ikifika saa 4 kamili asubuhi itaonyesha ipo sawa tu japo haitembei...
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Aisee wewe jamaa leo umeongea points.
 
Back
Top Bottom