🤣🤣🤣🤣🤣 Nikikumbuka ile coment ya majinjah yaani nacheka naona sikukosea kabisaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyau wewe.....
Maninginingi[emoji1787]
Kikuu kazoea ujambazi sasa ananisingizia na mimi mtoto wa watu. Wakati inajulikana tu nilivyo mpole na mtulivu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie watu wawili mnanifurahisha sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani auntie ungekuwa sio auntie yangu ningesema naombeni jamani muwe wapenzi yaani akili zenu mnaendana sanaKikuu kazoea ujambazi sasa ananisingizia na mimi mtoto wa watu. Wakati inajulikana tu nilivyo mpole na mtulivu.
Huwezi amini nimekukumbuka hapa nimecheka mwenyewe. Tumefika kwenye sherehe soda na juice zimeisha; wamekuja wameturundikia Heinekens za kutosha; nikakuwaza mama Muinjili Heinekens ambavyo ungezigonga[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani auntie ungekuwa sio auntie yangu ningesema naombeni jamani muwe wapenzi yaani akili zenu mnaendana sana
Eeenh mama mchungaji [emoji1787][emoji1787] kwahiyo baada ya kurundikiwa mmezifanyaje jamaniiiiHuwezi amini nimekukumbuka hapa nimecheka mwenyewe. Tumefika kwenye sherehe soda na juice zimeisha; wamekuja wameturundikia Heinekens za kutosha; nikakuwaza mama Muinjili Heinekens ambavyo ungezigonga
Sasa wote na baba Mchungaji hatukunywi; tukawaongezea tu majirani. Kwa kweli ungekuwepo karibu ningekubebea tu mama Heinekens uji-enjoyyyyyEeenh mama mchungaji [emoji1787][emoji1787] kwahiyo baada ya kurundikiwa mmezifanyaje jamaniiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alooh nimetamani ila sijui ndio nazidi kuzeeka nikikwambia sijanywa mda unaenda mwezi wa pili huuu woiii kweli maisha yanabadilika mama mchungajiSasa wote na baba Mchungaji hatukunywi; tukawaongezea tu majirani. Kwa kweli ungekuwepo karibu ningekubebea tu mama Heinekens uji-enjoyyyyy
Yaani auntie vitu vyenye vimeshindikana ndio mimi naendana navyo🙆🙆🙆🙆[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani auntie ungekuwa sio auntie yangu ningesema naombeni jamani muwe wapenzi yaani akili zenu mnaendana sana