Makapuku Forum

Mama la Mama hapa alipata waziri, kichwa kabisa hiki chenye digrii zake tatu.
 
Auntie nahamia Austria [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo kwangu huku Misungwi. Kuna upungufu mkubwa wa walimu mpaka wanaajiri hata ambao hawana sifa. Tena kama unafundisha masomo ya STEM (Science, Technology, Engineering and Math) aisee utagombaniwa kama mpira wa kona na signing bonus juu (up to $20K) [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
🤣🤣🤣🤣
Ngosha mbona nipo Misungwi na hakuna hizi mambo🙆🙆🙆🙆
Au mnapeana wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…