Sasa wakosee wao, mwingine ashtakiwe!! Huu ni uonevuuu 🤣🤣🤣🤣Mwanamke mmoja wa Melbourne nchini Australia aitwae Thevamanogari Manivel ametakiwa kulipa kiasi cha dola za kimarekani zaidi ya milioni sita (Tsh. zaidi ya bilioni 16) kwa kampuni moja iitwayo CRYPTO ya nchini Singapore baada ya kampuni hiyo kukosea muamala na kumuwekea fedha hizo kwenye account yake ya benki.
Baada ya kuziona pesa hizo kwenye account yake Manivel alivumilia kwa muda wa miezi saba bila kuzitumia ambapo baada ya kuona kipindi hicho kimepita bila Mtu yoyote kujitokeza kuzidai alimua kuzitoa na kuzinunulia nyumba ya ndoto zake huku nyingine akizigawanya kwenda kwenye akaunti za ndugu zake wapatao sita.
Manivel alitumia dola laki 9 za kimarekani ambazo ni zaidi ya Tsh. bilioni 2 kununulia nyumba hiyo ya ndoto zake ikiwa na vyumba vitano ambapo baada ya hiyo miezi saba Kampuni hiyo iligundua makosa hayo na kuanza taratibu za kisheria mwezi February na kumfungulia Manivel mashitaka ya kutaka alipe pesa zote pamoja na riba.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Victoria nchini Australia James Elliott, licha ya kuamuru kulipwa kwa fedha hizo alishangazwa na Walalamikaji kwa kutotambua makosa hayo ya malipo kwa muda wa miezi saba ambapo hata hivyo aliagiza Manivel kulipa fedha zote ikijumuisha asilimia 10 ya riba na ada za kisheria.
Akili ya auntie yangu Espy Atoto [emoji1787][emoji1787]View attachment 2341243
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aloooh nilisoma nilicheka nikapita tu kimya kimya kama mkwepu
Huyu kiumbe wanamkosea sana aiseee....Halmashauri ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe imepiga marufuku Watu kuchinja Nguruwe na kula nyama yake (kitimoto) kwa muda usiojulikana kutokana na taarifa za uwepo wa ugonjwa wa homa ya nguruwe.
Afisa Mifugo na Uvuvi wa Wilaya hiyo Aldo Mwapinga ametoa taarifa ya katazo hili kutokana na vifo vya nguruwe 21 Wilayani humo na amenukuliwa akisema "Kata ya Tandala kumeripotiwa dalili za ugonjwa wa homa ya Nguruwe kwahiyo tunaendelea na jitihada za kuhakikisha tunashirikiana na Watendaji kuanzia ngazi ya Kata hadi Vitongoji kutoa taarifa juu ya hali inavyoendelea"
Amesema Serikali imepiga marufuku hiyo hususani katika kata ya Tandala huku pia akizuia utoaji wa Nguruwe kutoka kwenye zizi moja kwenda jingine kwa ajili ya kupandisha kwa jike, vilevile amewataka Watu kuacha kufukua Nguruwe waliofukiwa baada ya kufa (mizoga) na kuwachinja kisha kwenda kuuza nyama hizo vilabuni nyakati za usiku, hii ni baada ya taarifa za namna hiyo kuripotiwa hivi karibuni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] waione auntie yangu Makiwendo na huyu mzee mtu chake hawa hawatakubali watasema bora wafe tu View attachment 2341152
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaa sasa maisha bila kitimoto yafaa nini
Weeeeeeeewe Auntie!!!!!!Na uroho wangu wotee hii nyama imenishinda haipiti hata
Dooh pole sanaNa uroho wangu wotee hii nyama imenishinda haipiti hata
🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuushi humo Broh!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imarigineeee...
Mimi sipendi chochote kutoka kwakeHuyu kiumbe wanamkosea sana aiseee....
Wampakazie watakavyoweza... ila sikomi...
Kuna mtu aliniambie mafuta yake ndiyo kiboko sasa.. kupikia mboga za majani na kukaangia chipsi Auntie[emoji39]unaambiwa utajilambaaaa...
Ndio mimi kwa kitimoto yaani nitakufa na njaa yanguDooh pole sana
Lakini sikushangai mwaya maana hata mimi pamoja na watu wengi kupenda nyama ya mbuzi ila mie ile nyama imenishinda kabisaaa sijawahi kuipenda yani
Mimi kwenye mdudu, ng'ombe, kuku na samaki (wenye magamba tu lakini) yani hapo ndio umenifikisha