Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,355
- 95,749
tuko pamojaAsante we mzee kwa kushukuru
tuko pamojaAsante we mzee kwa kushukuru
Poa Swahiba.....mambo
Huyu jamaa wangempuuza tu...HAJI MANARA PRESS CONFERENCE |
“Rais Karia alitamka maneno machafu sana, moja wapo alisema watu wa Yanga muda huu wote wana vinyesi sehemu zao za siri”
View attachment 2303921
mzima kbs swahibaPoa Swahiba.....
Mzima?
Ahsante Swahiba....mzima kbs swahiba
amen
Auntie mchukueni huyu mtu wenu bwana.HAJI MANARA PRESS CONFERENCE |
“Rais Karia alitamka maneno machafu sana, moja wapo alisema watu wa Yanga muda huu wote wana vinyesi sehemu zao za siri”
View attachment 2303921
Na madeni ulipe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na madeni ulipe.
Hatuna kazi naye tena...Auntie mchukueni huyu mtu wenu bwana.
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jinga!!!!
Mchukueni mtu wenu bwana we!!Hatuna kazi naye tena...
Saa hii yupo yule semaji la CAF...hana baya..
Asante auntie kwa kushukuru
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi tushatoka huko si mlimchukua kwa mbwembwe auntie na bado tulieni dawa iwaingieAuntie mchukueni huyu mtu wenu bwana.
Naaaam semaji letu linavyojua kutupa raha hana mda wa kugombana na mtu anacheka na kila mtu halafu nilisahau semaji lihandsome bwanaaa [emoji847]Hatuna kazi naye tena...
Saa hii yupo yule semaji la CAF...hana baya..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bakini naye tuMchukueni mtu wenu bwana we!!