Makapuku Forum

Makapuku Forum

BREAKING: Watu 10 wamefariki asubuhi hii baada ya Basi dogo la Wanafunzi (Toyota Hiace T207 CTS) la Shule ya King David Mtwara kupata ajali maeneo ya Mikindani mkoani Mtwara.

Kamanda wa Polisi Mtwara Nicodemus Katembo “Wanafunzi waliofariki ni wanane, Dereva mmoja na Mwangalizi mmoja, majeruhi ni 19“. RIP[emoji1545]View attachment 2304334
Hii habari amefanya siku yangu imekuwa ya Huzuni...
Rest well Watoto Wazuri...
 
Back
Top Bottom