Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220725-052219_Opera%20Mini.jpg
 
Shirika la Afya Duniani WHO limeutangaza mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Nyani ambao tayari umeathiri zaidi ya Watu 17,000 katika nchi 74 duniani kuwa dharura ya afya ya Ulimwengu, hiyo ni tahadhari ya juu kabisa inayoweza kutolewa na Shirika la WHO kuhusu dharura yoyote ya kiafya Ulimwengu.

Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus ameuambia mkutano wa waandishi habari mjini Geneva kwamba ameamua kuitangaza Homa ya Nyani kuwa dharura ya kiafya duniani baada ya Timu ya Wataalamu kushindwa kufikia makubaliano.

Amesema tathmini ya WHO inaonesha kitisho cha Homa ya Nyani duniani bado ni cha wastani isipokuwa barani Ulaya ambako maambukizi yanaongezeka.

Marekani imeikaribisha hatua hiyo ya WHO katika wakati maambuki yakiongezeka huku asilimia 98 ya walioambikizwa wakiwa ni Wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
View attachment 2302838
🤔🤔🤔🤔🤔
Okay.
 
“Hili ni maalum ili mimi nisishiriki wiki ya Mwananchi, nimeanza pia kupokea vimeseji kuwa kama nitazungumza leo watanifungia maisha, nyie ni nani?” haji manara.
Screenshot_20220726-041050_OGInsta%2B.jpg
 
[emoji3578][emoji3578] Jemedari Said

KUNA MAHALI LIPO TATIZO SIO BURE...Part 2

Mhamasishaji alikataa kwamba kwenye mzozo wake na Rais wa TFF hakukuwa na MATUSI...!!

Akaja akaomba radhi kwa kumkosea Rais wa TFF na mpira kwa jumla.

Leo anakiri kulikuwa na MATUSI anaposema Rais wa TFF aliongea maneno mabaya alisema " Watu wa Yanga wote wana vinyesi sehemu za siri muda huu" Haya sio matusi?

Jamii inapaswa kumjua mtu huyu kama TATIZO KUU kwenye mpira wetu. Huwa anabadili badili maneno kwa faida yake. Huwa anatatafuta sana huruma kwa manufaa yake.

Leo anahusisha VAGI lake lile na Yanga, kwani Yanga ndo walimtuma akafanye fujo? Leo anasema kuhusu siku ya Mwananchi, yeye alikuwa Simba na Yanga walifanya Siku ya Mwananchi Bora kuliko Simba Day ambayo yeye alishiriki. Yanga wanaweza kufanya jambo lao bila msaada wa MAMLUKI kutoka Simba.

Anataka huruma kwa Serikali pale anaposema aliandaa ujumbe kwajili ya SENSA 2022, huo ujumbe si wa Yanga sio wake, Yanga sio yeye ni Taasisi, yeye atumikie KIFUNGO Yanga ina watu wengi watafikisha ujumbe kwa Serikali yeye akiwa jukwaani au nyumbani akiangalia kwa TV hakun'shaka.

Huyu jamaa ni tatizo sana, anataja kuonyesha kwamba yeye ana nguvu na kufungiwa ni shida kwenye mpira au anataka NCHI ISITAWALIKE kisa yeye kufungiwa, yeye nani kwani?

Anasema Serikali iingilie kati anaonewa, lakini anasema Waziri alitoa hukumu kwenye hotuba yake siku ya Tuzo. Nadhani pia Serikali iwe makini na ianze kumfatilia mtu huyu anajiona kuwa juu ya mamlaka zinazomuongoza.

Kila siku yeye ndo press conference kaonewa, kaomba msamaha, Yanga inaonewa, Barbara anamuonea, MO Dewji hampendi, huyu jamaa ni tatizo na hajijui kama ni shida.

Kamati kusema kuhusu packet ya cigarette kibiriti cha gas kuna shida gani kwani unavuta kwa siri familia haijui mpaka useme unadharirishwa?

Maneno haya dhidi ya Rais wa TFF nia nini kwamba Rais atoke mafichoni ajibu? Kwanini yasingesubiri Kamati ya Rufaa ya Maadili au hukati tena?

NB: Ukicheka na Mbwa utaingia nae Msikitini.
Screenshot_20220726-041050_OGInsta%2B.jpg
 
[emoji3578] Jemedari Said

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA TFF

Katibu Mkuu wa TFF KIDAO WILFRED amesikitishwa na taarifa ya UONGO kutoka kwa ALIYEKUWA Afisa wa Yanga SC kwamba yeye KIDAO alimuomba msamaha kuwa Rais wa TFF alikosea.

Kwahiyo kwenye Press conference ya Leo Wanahabari Mmepigwa CHANGA Mchana kweupeee..!!

NB: TFF wako Very Sharp aisee khaa.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Screenshot_20220726-041845_OGInsta%2B.jpg
 
Back
Top Bottom