nipo mkuumtu chake habari za kupotea
Jpili imekaajenipo mkuu
jpili iko poa kbsJpili imekaaje
Wewe na Anko wako Sumbawanga inawahusu...duh, nilidhani tuliyamaliza haya kimya kimya pale nilipokuletea mabibo kiroba kizima na anko Lee akakuelezea kilichotokea.
Wakulima wana shida sana. Ukitaka korosho tena nakuuzia kwa bei ya punguzo
Sumbawanga inawahusuAnkooo hivi saa saba kumbe ilikuwa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado tu?Nijikute tu!!
Mpaka muda huu bado nasubiri atume[emoji134][emoji134][emoji24]
Bado siwez kuachiwa hivi hiviiKikuu hatimae umeachiwa!!
Marahabaa!! Hujambo wewe?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Happy Sunday Shem lake....
Umeenda Ibadani leo?
Hiyo Shikamoo Imefoka sana Shem.....Hapana[emoji28](Kwa Sauti ya Nape)
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bado tu?
Nipate gawio langu mimi...
....hapo kuna mtaa unaitwa Makanyagio ha ahahaha, kuna jambo langu hapoWewe na Anko wako Sumbawanga inawahusu
...hauko peke yako mdau. Nipo nasubiri bei ya mafuta ya taa ipungueNalinda jukwaa wasituibie
pamoja mdau...hauko peke yako mdau. Nipo nasubiri bei ya mafuta ya taa ipungue
Sisi tunaotumia app hzi attachment hazifunguki