Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji3578] Farhan Jr

Sijui lakini wengine ila binafsi nikiwa kama Shabiki wa Simba achilia mbali Uchambuzi naona hili dirisha hata wangesajiliwa wachezaji watatu au wanne ingekuwa sawa tu

Anahitajika beki wa maana ambaye washampata na atasaidia timu, alihitajika Kiungo Mkabaji mzuri tayari wamempata, alihitajika Kiungo Mshambuliaji ni tayari wamempata tena ni kama replacement ya Bwalya aliyeuzwa

Anahitajika Straika mwingine wa maana ikibidi, ambaye naona wanahangaika sokoni kisha hapo unafunga usajili wako na unaendelea kuandaa timu yako kwa ajili ya msimu mpya

Wamefanya inclusion nzuri sana ya Locals ambao ni Kapama na Habibu Kyombo, kuna muda unahitaji damu kama hizi kwenye timu, kuna muda tu Peter na Sakho huko mikoani itakuwa ngumu wao watacheza vyema

Nikiitazama hii timu sioni ubaya wake upo wapi, sielewi watu presha wanatoa wapi! Sokoni utapata wapi kiungo kariba ya Chama? Kipa kama Aishi? Beki kama Zimbwe na Shomari? Tena kwa bei nafuu, Majibu ni HAPANA

Sijui lakini wengine wanaonaje ila mimi kama Shabiki tu sioni shida na sioni sababu Viongozi wafanye panic buys, hii timu ni nzuri tu

Tumetofautiana lakini kwenye kutazama kitu na kukichakata, kukosa ubingwa haipaswi kutafsiri timu ni mbovu, ni mtazamo mbaya sana
Screenshot_20220721-162540_OGInsta%2B.jpg
 
Imeandikwa na @swalehmawele

[emoji344] Moja kati ya wachezaji ambao hawakupewa nafasi kubwa ya kubaki ndani ya Yanga SC ni Makambo, ufinyu wa muda mwingi wa kucheza katika msimu uliopita wadau wengi waliona kuwa Makambo si mtu sahihi ambae anaweza kumpa changamoto Fiston Mayele.

[emoji344] Naweza kuwa tofauti na wadau wengi ambao wanaamini Makambo si mchezaji mzuri, bado naamini Makambo ni top striker katika level yetu, ni timu chache zinakuwa na washambuliaji wa kati ambao wote wanakuwa regular katika kikosi cha kwanza, the winning team never change, makocha wengi husimamia hapa.

[emoji344] Yanga wamefahamu ugumu wa kumpata mshambuliaji wa kati sokoni, si rahisi kupata quality inayomzidi Mayele kwa sababu ni kama kucheza kamali kumuacha Makambo ili uingie sokoni kucheza pata potea, Yanga walipata shida kumnasa Mayele na hawawezi kumuacha Makambo ambae bado ni mshambuliaji mzuri.

[emoji344] kila mchezaji anaimarika kwa kupata dakika nyingi za kucheza, kilichomuhukumu Makambo ni standard aliyoiweka na watu walitaka kumuona akicheza katika daraja lilelile bila ya kujali kuwa hapati dakika nyingi ambazo zingemsaidia kujiimarisha zaidi, ninachokiamini Yanga wamefanya maamuzi sahihi.
Screenshot_20220721-162755_OGInsta%2B.jpg
 
Mohamed Ouattara has arrived in Egypt to join the Simba SC squad for their pre-season campaign. [emoji599]

Simba now working on Lobi Manzoki's deal.

#NguvuMoja | #Transfers


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyieee nipo ki international zaidi usipoelewa nenda tu google translate

Halafu simba ni lidude flaniiii hiviiiiiii
Screenshot_20220721-163149_OGInsta%2B.jpg
 
Back
Top Bottom