Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,810
hahahahahahaHakuna Madhara huko Swahiba.
hahahahahahaHakuna Madhara huko Swahiba.
hahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
insta unaingia cha tsz ngapi? ShangaziNdio nisiingie insta kweli cha elfu 10 hapana kwakweli jamani
Niko njiani nakuja we dada🤣🤣🤣Kimbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kima[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niko njiani nakuja we dada[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko vizr makiwendoNakusalimia Mndali....
Asante dadaSalama kaka karibu
Weeeeh!! Sidanganyikiiiiii🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umefika wapi Mdogo wangu Kipenzi?
Babe!!Asante dada
Babe nilishakwambia uhame huko.Niko vizr makiwendo
Huku kwetu network ni mzozo tunajiunga vifurushi vinaisha bila matumizi
Si unajua Dada Loves you....Babe nilishakwambia uhame huko.
Pole Mndali..Niko vizr makiwendo
Huku kwetu network ni mzozo tunajiunga vifurushi vinaisha bila matumizi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Babe nilishakwambia uhame huko.
Wazima Swahiba....Wazima humu ndugu zangu
Eenh kila siku hayo madeniKufuata hela yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787] voda najiungaga cha 2000 cha week gb 1 ila natumia siku moja sasa uko sitawezanainsta unaingia cha tsz ngapi? Shangazi