Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Wacha weehBabe!!
Wacha weehBabe!!
salama kbs swahiba,habari za mchana ni poa kbsWazima Swahiba....
Vipi wewe?
Habari za Mchana huu?
sawa haina tatizo[emoji1787][emoji1787] voda najiungaga cha 2000 cha week gb 1 ila natumia siku moja sasa uko sitawezana
Vizuri Swahiba....salama kbs swahiba,habari za mchana ni poa kbs
hahahahahaVizuri Swahiba....
Kazi Ziendelee
Aaah we nimeghairi siji!! Haya mahaba ya leo nahisi nitakopwa ten akabla ya kulipwa.Si unajua Dada Loves you....
Auntie ndio nani huyu?Here we Go ..!![emoji3578]View attachment 2298711
Kumbe analima🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aache kilimo?
Auntie sijalipwa yaani🙆🙆🙆Eenh kila siku hayo madeni
🤣🤣🤣Wacha weeh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaah we nimeghairi siji!! Haya mahaba ya leo nahisi nitakopwa ten akabla ya kulipwa.