Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,370
Kweli tena[emoji2357]Muonee kama kweli vile
Kweli tena[emoji2357]Muonee kama kweli vile
Tena wewe N'tuzu usicomment chochote[emoji1787].....nikicomment kitu chochote hapa nitasemwa najipendelea.
wamefanyaje?Kuna wasukuma, kuna wanyamwezi halafu kuna wahaya [emoji3059] wengine acha tusiwataje
duhTena wewe N'tuzu usicomment chochote[emoji1787]
.............
Woooi!!New Zealand auntie
Asante sana we mzeetisha sana shangazi kwa magazeti
Hivi binamau ni ntuzuTena wewe N'tuzu usicomment chochote[emoji1787]
Hahaha we mze bwana kwani upo hapo katika hayo makabila mojawapowamefanyaje?
hahahahaha,hapana.,mimi mtanzania sina kabilaHahaha we mze bwana kwani upo hapo katika hayo makabila mojawapo
.....nimepita kuangalia maana nami naenda kwenye ghala kulindaLindo lindoni,doria kenda ,mnyama chini
nipo mkuu.....nimepita kuangalia maana nami naenda kwenye ghala kulinda
Enzi zake diamond sound tupo vitoto jamani kweli tumezeeka......happy almost furahiday watu wazuri mnaolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Ndugu yenu nipo na maisha ndiyo haya haya.
Msikilize mstahiki mayor wa jiji wakati unajipanga weekend yako iweje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha sasa binamu kama ntuzu mbona ako na vielement vya kipare na kikinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nimsubirie atoke kwenye Maghala...