Makapuku Forum

Makapuku Forum

.....karibu sana, utanisaidie nikukesheshe halafu mchana unalala. Ulinzi sio jambo rahisi sema tu zama za inflation na shrinkflation kazi ni kazi, unaishika na kuikumbatia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka!!!

Mbona kunikesheshe[emoji1787]....Ni sawa tu.. Tutakesha...Hakuna shida.
 
....kuna raha yake kwenda bar yenye vijivurugu weekend. Sio kila siku ukae sehemu tulivu. Toka kidogo ukaone maisha yalivyo sehemu ambayo hujazoea. Nenda Buguruni Kimboka bar, agiza bia mbili, kunywa angalia wale wadigo wanavyotoa burdani. ukienda restroom usiache simu mezani, hauko Cape Town bar au Mbalamwezi, wala hauko Royal Village unakokula mvinyo huku unapata huduma ya WiFi. Ukiiacha tu imekula kwako. Anyway, nilitaka tu kushare na wewe some weekend experience, unaiacha comfort zone yako na unaenda sehemu ambayo ukiona watu wanagombana usiende kugombelezea, utafumanishwa. Hii ndiyo bar yangu kwa leo. Lindo langu linaanza saa 6 kwa sasa namwagilia moyo

Asante binamu yangu na kwako pia
 
Hahahaha binamu tunaongea me na wewe
...sawa lakini nimebadilika siku hizi, huoni ninajisogeza kwa Maki, sasa akijua kuhusu hilo anko alilokuwa ananisingizia nitaonekana siko makini kabisa.
Mwenzako nimepanga nikija Daslamu niende nikatembee pale kwenye daraja la Tanzanite nikapige picha na nimemwomba Makiwendo achukue mapumziko anipeleke darajani afu tunachangia bajaji inatupeleka Kitambaa cheupe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenichekesha Obe....

Darajani ilo usiwaze....nitakupeleka sehemu nyingine na nyingine...

Shunie naye atakuwepo.
 
Back
Top Bottom