Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili la usukuma hili bado siliamini ebu binamu akuje kwanza ajibu
....kweli kabisa, tena nakandamiza kweli kweli. Darasani sikuwa namuelewa mwalimu hadi atafasiri kwa kisukuma. Wakati wengine Kiswahili ni lugha ya kwanza, mimi ni lugha ya pili, nimeikutia shuleni secondary
 
....kuna raha yake kwenda bar yenye vijivurugu weekend. Sio kila siku ukae sehemu tulivu. Toka kidogo ukaone maisha yalivyo sehemu ambayo hujazoea. Nenda Buguruni Kimboka bar, agiza bia mbili, kunywa angalia wale wadigo wanavyotoa burdani. ukienda restroom usiache simu mezani, hauko Cape Town bar au Mbalamwezi, wala hauko Royal Village unakokula mvinyo huku unapata huduma ya WiFi. Ukiiacha tu imekula kwako. Anyway, nilitaka tu kushare na wewe some weekend experience, unaiacha comfort zone yako na unaenda sehemu ambayo ukiona watu wanagombana usiende kugombelezea, utafumanishwa. Hii ndiyo bar yangu kwa leo. Lindo langu linaanza saa 6 kwa sasa namwagilia moyo

 
Back
Top Bottom