Makapuku Forum

Makapuku Forum

emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

ERoni pita huku
Nimejisikia tu Uone huu Ujumbe
Asante kwa kuniita mtu wangu wa nguvu kabisa.

Ila sasa shem mbona mimi sio mnyaki, haha...au wa milimani tunaendana na hawa jamaa! Au ujumbe unashabihiana na vitabia vyangu..😂
Ningeomba kuwa wa kabila hilo jamani, sijui kwa nini nilizaliwa milimani..
 
Asante kwa kuniita mtu wangu wa nguvu kabisa.

Ila sasa shem mbona mimi sio mnyaki, haha...au wa milimani tunaendana na hawa jamaa! Au ujumbe unashabihiana na vitabia vyangu..[emoji23]

Ningeomba kuwa wa kabila hilo jamani, sijui kwa nini nilizaliwa milimani..
Watu wa mlimani mnaendana endana sana na hao watu.[emoji28]
 
He he he...Shem...
Huku utakuja tu...hata kwa kimya kimya..Nakumanya vyema.
Hahaha, huku kwa makapuku mimi sihusiki. Nikapitia headlines za magazeti, huyu Shunie yuko vizuri.
Watu wa mlimani mnaendana endana sana na hao watu.[emoji28]
Kweli umetuchoka, nitakutafutia wa milimani upambane nae🤣🤣🤣
 
Ankoo abj ulimkataza jf eti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
....duh, ankal mbona mimi mgeni kabisa humu na ndiyo kwanza nimeingia leo toka Chikundi. Kuna jipya gani kwani, kabla sijakueleza mazuri niliyokutanayo kule. Halafu nilipata barua toka kwa yule mtu wako wa siku zote, anakusalimia
 
Back
Top Bottom