Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenge wewe.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenge wewe.
NaamEenh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena usisahau na ya kula Segera[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hivyo...Weeeh!! Naanzaje kukaa nalo!!
Ewaaaa!! Siku moja moja una akili.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Machungwa.[emoji2]
Njoo nikwambie, siwezi kukaa nalo.Kama hivyo...
[emoji23][emoji23]Kichwa changu uchachu kitoe wapi? Na kwanini?Ewaaaa!! Siku moja moja una akili.
Nitakuchukulia yale machachuuu kama kichwa chako.
Sitaki... Sitaki..Njoo nikwambie, siwezi kukaa nalo.
Weeeh!! Mie utulivu A+[emoji23][emoji23]Kichwa changu uchachu kitoe wapi? Na kwanini?
Sema kama kichwa chako wewe.. Maana ni tabu tupu..
Utataka tu.Sitaki... Sitaki..
[emoji23]
SubutuuuuuWeeeh!! Mie utulivu A+
[emoji23]Utataka tu.
Weekend Iwe njema na kwako pia Uncle...
Wikend njema watu wema ndani ya forum hii adhimu
samahani shangazi nimechelewa kdg,ila nimesoma,ahsante kwa magazetiWe mzee mtu chake ebu ukuje usome
Kwakweli auntie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka Vibaya....
Aki Yerusalemu tutaiona kwa mbali sana Auntie...
Hahaha sijambo mimi auntie hofu kwako tuAuntie hujambo? [emoji1787][emoji1787]
Ulivyotaja segera auntie nimekumbuka zile nyama yaaniTena usisahau na ya kula Segera[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante binamu na kwako pia
Wikend njema watu wema ndani ya forum hii adhimu
Asante we mzee kwa kushukurusamahani shangazi nimechelewa kdg,ila nimesoma,ahsante kwa magazeti