andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,219
- 121,162
Anko huu uhamaji wako nimejikuta kichwa kinapangaruka kabisa... Nitajie kabisa kituo kinachofuata ili niku'zöe'eHaha ndiyo uwage unanielewa mama
Anko huu uhamaji wako nimejikuta kichwa kinapangaruka kabisa... Nitajie kabisa kituo kinachofuata ili niku'zöe'eHaha ndiyo uwage unanielewa mama
Labda sio mimi.Huyo huyo anayelipa...
Ukimtumia nauli baada ya dakika 20 anakuambia nimeanza safari...
Ndani ya dakika hizo hizo 20 anakutumia msg " Nimepata ajali ya Boda, Mimi na Dreva tumefariki wote My wangu"[emoji23]
Utakapojua hujui...
AfadhaliNdio unitumiage hela sasaaaa
Silitaki[emoji23]Nina jambo[emoji12]
SawaLabda sio mimi.
Hata aache kutumia simu nitampata tu.
Kabla sijakutumia nauli lazime nikuweke karibu na napate taarifa zako muhimu.
Hili litafanikiwa kwasababu sina mkono wa birika na sound ninayo sana lazima uingie 18 zangu.
Hata day one ukizingua kuja sitaonyesha kumind ili nikulainishe.
Lkn sound zikizidi mbona hutawapiga wengine sound?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaume tumepitia mengi na siku hizi mwanamke mwizi tunamjua from day one tunachotaka ni kuvua na kuacha sababu tunajua ni kunguru wale wale wasiofugika.
Hahaha anko siwezi kujua kituo kinachofuata lakini kwa sasa acha tukae humu kwanzaAnko huu uhamaji wako nimejikuta kichwa kinapangaruka kabisa... Nitajie kabisa kituo kinachofuata ili niku'zöe'e
🤣🤣🤣🤣🤣Afadhali
Huh!! Sasa kwanini ukaniuliza?Silitaki[emoji23]
Nitumie mie sikuli.
Eenh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shemejiiiiiii[emoji3][emoji3][emoji3]Sio hilo tu, kwamba wanafanya mapenzi kwenye nyuso zetu... Ndio maana tunaamka na vitu vyeupe kwenye macho, na ukute kwenye macho ndio chooni kwao kujisafisha.
Wanatuchafua sana shemeji..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie niacheeee usinikumbushe ya jana na simu ya tigo nimezima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo huyo anayelipa...
Ukimtumia nauli baada ya dakika 20 anakuambia nimeanza safari...
Ndani ya dakika hizo hizo 20 anakutumia msg " Nimepata ajali ya Boda, Mimi na Dreva tumefariki wote My wangu"[emoji23]
Utakapojua hujui...
AbeehNitumie mie sikuli.