Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa we mzee hao si wanajua nyama wanakula ni ya mbwa

Sasa me nakula vimishkakiii usikute nalishwa nyama ya mbwa sijijui
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie nimecheka

Huwezi kuamini mimi na Uroho wangu wote wa nyama zile za kutembeza sijawahi...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa auntie yako nikiona mate yananitoka na ninasimama kabisa nakula yaani sijali wala nini kama wananilisha nyama za mbwa wanapata dhambi sana
 
Nimechekaaaaa.....

Kuna sehemu Kariakoo Wameweka hadi viti na meza kabisa[emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aloooh kwenye mtaa wa vipodozi yaani nikienda kariakoo auntie yako lazima nipite pale na nikae nile zangu yaani auntie ni vitamu
 
Ndiyo hiyo mitaa na mimi niliona Auntie....
Na Inavutia jamani....siku moja nitapitia aiseee
 
Back
Top Bottom