Nimeamua kuuliza...Huh!! Sasa kwanini ukaniuliza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitumie mie sikuli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie niacheeee usinikumbushe ya jana na simu ya tigo nimezima
Auntie hujambo? 🤣🤣Abeeh
Najiweza which,who,where!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unajiweza bhana..
Utajigharamia.
Sasa mbona mimi unanipangia? Ninalo jambo bwana🤣Nimeamua kuuliza...
Sipangwingwi[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najiweza which,who,where!!
Hebu tuma na ya kutolea.
Silitaki bhana...Sasa mbona mimi unanipangia? Ninalo jambo bwana[emoji1787]
Tena usisahau na ya kula Segera🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya kutolea? How?
Weeeh!! Naanzaje kukaa nalo!!Silitaki bhana...
Kaa nalo tu..