Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,429
- 95,934
mambo vp lkn? Week end inasemaje?Asante we mzee kwa kushukuru
mambo vp lkn? Week end inasemaje?Asante we mzee kwa kushukuru
Mambo ni poa we mzee na weekend ipo vizuri kabisa sijui upande wakomambo vp lkn? Week end inasemaje?
niko poa kbs shangazi,naendelea ma majukumuMambo ni poa we mzee na weekend ipo vizuri kabisa sijui upande wako
Na kazi iendelee we mzeeniko poa kbs shangazi,naendelea ma majukumu
hahahahahaha,sawa sawaNa kazi iendelee we mzee
Hahaha sijambo mimi auntie hofu kwako tu
Nyama za mbwa🤣🤣🤣🤣Ulivyotaja segera auntie nimekumbuka zile nyama yaani
Sawa tu[emoji1787]Nyama za mbwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji39][emoji39][emoji39]Ulivyotaja segera auntie nimekumbuka zile nyama yaani
Uroho tu.Sawa tu[emoji1787]
Kiingiacho siyo najisi..
Na kwako pia mpendwaEid al adha, ndugu zangu
Naam auntie kikubwa uhai [emoji847]Mie nipo napumua auntie yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani nahisi nimelishwa sana auntie nikiwa kariakoo nikiziona mate yananitoka na ndizi za kuchoma acha wanilishe tuNyama za mbwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kwako pia we mzee. [emoji3059]Eid al adha, ndugu zangu
🤣🤣🤣🤣🤣Na ulivyo mroho wa nyama!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani nahisi nimelishwa sana auntie nikiwa kariakoo nikiziona mate yananitoka na ndizi za kuchoma acha wanilishe tu
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Uroho tu.
Morning uncle.Good morning fam
[emoji23][emoji23][emoji23] Yaani auntie na huu uroho nimelishwa sana nyama za mbwa kikubwa uhai tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na ulivyo mroho wa nyama!!