Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,911
- 183,311
Oooh!! Nilisahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo kaka mndali leo unamkana
Uzee huu auntie unaweza kusahau hata kama umeolewa.
Oooh!! Nilisahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo kaka mndali leo unamkana
Naanzia nilipoishia.Hivi unaanzajeee
Abeeee! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata wine huonji
Mweh!![emoji23]Oooh!! Nilisahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzee huu auntie unaweza kusahau hata kama umeolewa.
Wacha bwana!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani tutafuteni helaa tu me ndio maana mapenzi hayanichanganyi kabisa nikiona mambo hayaeleweki nakwambia tu kaka ebu kila mtu aendelee na mambo yake jamani umenikuta nipo na maisha yangu yaani nikiongea hivyo imeishaaa hiyo sigeuki nyuma
Na bora tu usijue maana......[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]....lol. Ujue wakati nasoma nilikuwa bwaksi lakini nikagundua kuwa hukukutana na mimi maana mimi nilinywea nyumbani sikutoka kabisa, mambo ya indoor.
Ningekuuliza ungenipa jibu la kunikarahisha wakati mambo yangu na mdogo wako ndiyo kwanza barabara zinachorwa zipite wapi zisipite wapi. Kutoka Ntwara hadi Daslamu sio mwendo mfupi ujue
Huh!!Anywe ataweza? Na hiyo kichwa si tutampoteza[emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku tukiwa naye aonje hata glass moja ya wine
Naomba hela.Hapana...hela zinanipenda zenyewe...
Kwamba unayo nyingi[emoji2]
Nilikuwa naenda kutoa Iende Bank ya Damu....zaidi sana mwenye angeipata Wueh!!!....
Siendi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo wewe... kwendraaa
Nyehunge umeanza eeh!!Tulia....
Kimandolu wewe...
Yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]
Na Apple punch.
Taaaamu.Apple punch!!! Ghaaaiiii
Kwendraaàaaaaa!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie!!!!
Hiyo balaa yake utaiweza? Nitakuachia[emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....kuchangia damu ni ubinadamu, mara ya mwisho niliacha kuchangia sababu walisema soda na biskuti zimeisha. Wana namba yangu, nikawaambia zikiwepo wanitumie ujumbe mfupi
Nikopee na mimi basi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie mimi yangu ni balaa...
Kuna kimoja hicho.... kinanipa kiungulia Wallah...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oooh!! Nilisahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzee huu auntie unaweza kusahau hata kama umeolewa.
Sio shida zanguWacha bwana!!