Makapuku Forum

Makapuku Forum

...na hiyo mirinda nyeusi sio kwamba wanakupa take away, ni ile ya chupa, unakunywa pale pale uimalize uwaachie chupa yao.
Huwa nnaenda na chupa tupu ya maji ya uhai, namimina humo biashara imekwisha. Toa damu, Okoa maisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Binamu hivi ni kweli
 
FWUraVMWQAA2dmQ

...japokuwa mimi ni shabiki la Bandari Mtwara (siku hizi nashangilia Ndanda FC) na ninaichukia Yanga lakini kwa umati huu na mapokezi nimeona nishare na wewe mdau. Hongera sana Yanga, mwakani tunawaletea kocha la kibrazil tuone kama mtatoka
 
Back
Top Bottom