Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Siku tukiwa naye aonje hata glass moja ya wineAnywe ataweza? Na hiyo kichwa si tutampoteza[emoji2]
Siku tukiwa naye aonje hata glass moja ya wineAnywe ataweza? Na hiyo kichwa si tutampoteza[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unawaza michezo unawaza vikoba unawezaje kuwaza na mapenzi jamani tutafuteni helaaa tuuu
Lol[emoji2]Si penzi jipyaaa auntie. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naaaaaam....Twende kazi Aunty akee..Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala [emoji847] mtoto mlito mlito
Yale mambo nilikwambia nimestop kwanza hela ilikata najipanga kwa awamu ya pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ulikuwa umefichwa wapi kwanza?
Au ni yale masuala Auntie?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].....huyu ndiyo ambaye tunafanyaga maombi ya mkesha.
Anko wangu anachanganya sana mambo, anapenda kuhamisha magoli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....aunt, sikuuliza maana nilipata majibu toka kwa muhusika mwenyewe. Halafu niliyetaka kumuuliza alisema alikutana na shemeji yake mlevi, mara ya mwisho nakumbuka sikuwa mlevi
Ndugu zako hawakupendi?....my dear stranger, akikunong'oneza utasahau yote ya kweli niliyokuambia. Ni mtego, halafu huyu ni anko wangu lakini tuna uadui wa ukoo, muulize Nigendako ni shahidi.
Nimempigia simu kanibuloku, nimemwandikia barua EMS wataifikisha kwa dispatch
Dalili za kupigwa chini zinazidi kuongezeka, jamani mimi nina nini na ndugu zangu!?
[emoji23][emoji23][emoji23] Auntie ebu niache leo nilikuwa naangalia natakiwa tarehe ngapi nirejeshe mkopo nimechokaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marejesho....
Hapo hujanunua Hisa....
Ahsante Obe....J3 na wiki la mwisho la June 2022. Nakutakia wiki njema wewe unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Acha Upendo Utamalaki na Tabasamu Limee.
Safarini Moshi
Sipendi ubuyu kiukweli yaani siupendii hata utengeneze vipi auntieNikikutengenezea mimi utaipenda Auntie....
Kila siku utanipa ODA[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo mvuruganooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo hujakutana na habari za Mjomba kameza Shoka.... Woiiiiiii
...hili jina litamsumbua hata kama hajalenga hadhira ya waongea kiswahili kama atataka kuwa kichwa ngumu. Kashindwa kufanya kile kinachoitwa linguistic screening ili kuondoa maana mbaya ya jina unalotaka kutumia kwenye biashara yako. Hatukatai controversy kwenye jina lakini sio iwe ya tusi, contraversy should be the right one sio ya kuondoa lengo zuri unalotaka kufanya.
[emoji23][emoji23][emoji23]...hili jina litamsumbua hata kama hajalenga hadhira ya waongea kiswahili kama atataka kuwa kichwa ngumu. Kashindwa kufanya kile kinachoitwa linguistic screening ili kuondoa maana mbaya ya jina unalotaka kutumia kwenye biashara yako. Hatukatai controversy kwenye jina lakini sio iwe ya tusi, contraversy should be the right one sio ya kuondoa lengo zuri unalotaka kufanya.
Narudia tena naandika sababu ninajisikia nawe unaweza kuwa na tafasiri yako, inawezekana Naomi hajawalenga waongeaji wa lugha ya Kiswahili so asidhani cancel culture ikiamshwa na waswahili haitamuathiri
Hapana...hela zinanipenda zenyewe...Dada wewe hupendi hela?
Mie ninayo nyingi sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawaza huyo anayeongezewa damu yako masikini[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23]Asante sana[emoji12]
Tulia....Aliogopa majibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si unajua usilolijua halikuhangaishi!!
[emoji28]Mirinda nyeusi.
...bado asubuhi sana nikijibu ukweli aunt, napenda siku iwe nzuri kwa upande wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukimaanisha binamu