Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Apple punch!!! Ghaaaiiii[emoji28]
Na Apple punch.
Apple punch!!! Ghaaaiiii[emoji28]
Na Apple punch.
Mbona kama kweli..
....ondoa wasiwasi japo wasiwasi ndiyo akili lakini kwa hapa amini kila kinachotka mdomoni kwangu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kwamba Maombi ya Mkesha? Ni sawa....
Hawezi Auntie[emoji2]Hata wine huonji
[emoji2][emoji2][emoji2]Uwe unaongea taratibu basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....lol. Ujue wakati nasoma nilikuwa bwaksi lakini nikagundua kuwa hukukutana na mimi maana mimi nilinywea nyumbani sikutoka kabisa, mambo ya indoor.
Ningekuuliza ungenipa jibu la kunikarahisha wakati mambo yangu na mdogo wako ndiyo kwanza barabara zinachorwa zipite wapi zisipite wapi. Kutoka Ntwara hadi Daslamu sio mwendo mfupi ujue
....ndugu zangu waache tu kama walivyo, mara ya mwisho tumekutana kusuluhishwa bila suluhu. Kwenye mambo ya kifamilia tuko pamoja sana ila kwenye kuharibiana maisha binafsi tumeshindikanaNdugu zako hawakupendi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Achana na mapenzi mapya bwana
Tuliosoma Cuba tumekuelewa binamu yangu...bado asubuhi sana nikijibu ukweli aunt, napenda siku iwe nzuri kwa upande wangu
Auntie!!!!Siku tukiwa naye aonje hata glass moja ya wine
....kuchangia damu ni ubinadamu, mara ya mwisho niliacha kuchangia sababu walisema soda na biskuti zimeisha. Wana namba yangu, nikawaambia zikiwepo wanitumie ujumbe mfupiHapana...hela zinanipenda zenyewe...
Kwamba unayo nyingi[emoji2]
Nilikuwa naenda kutoa Iende Bank ya Damu....zaidi sana mwenye angeipata Wueh!!!....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tafiti zinakuwaga za kweli auntieMbona kama kweli..
Hahaha bora sakayo anaonja wineHawezi Auntie[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23] Au basi bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri kwanza...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie!!!!
Hiyo balaa yake utaiweza? Nitakuachia[emoji2]
Nakumbuka Auntie... Kila lenye kheri Dear....Utamaliza kabisa....Yale mambo nilikwambia nimestop kwanza hela ilikata najipanga kwa awamu ya pili
Siku hizi nimekuwa mvivu sana kuingia jf sijui ndio bundle mzozo ila nahisi hili la bundle ndio kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie ebu niache leo nilikuwa naangalia natakiwa tarehe ngapi nirejeshe mkopo nimechokaaa
...asante kwa kunielewa, sasa wale waliosoma Thailand kwa kina maning'ining'i wasubiri episode ya 27Tuliosoma Cuba tumekuelewa binamu yangu
Auntie!!!! Auntie!!!Sipendi ubuyu kiukweli yaani siupendii hata utengeneze vipi auntie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo mvuruganooo