Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Kwahiyo kaka mndali leo unamkanaBaby wangu? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Baby wangu yupi sasa? Kumbe na mimi nina baby!!
Kwahiyo kaka mndali leo unamkanaBaby wangu? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Baby wangu yupi sasa? Kumbe na mimi nina baby!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Aliogopa majibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si unajua usilolijua halikuhangaishi!!
.....hii ni soda ambayo kwenye vikao vya familia yule ndugu ambaye hana ukwasi anapewa bila hata kuulizwa anatumia kinywaji gani.Mirinda nyeusi.
Hivi unaanzajeeeSiwatakiiii.
Hata wine huonjiMirinda nyeusi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani tutafuteni helaa tu me ndio maana mapenzi hayanichanganyi kabisa nikiona mambo hayaeleweki nakwambia tu kaka ebu kila mtu aendelee na mambo yake jamani umenikuta nipo na maisha yangu yaani nikiongea hivyo imeishaaa hiyo sigeuki nyumaHela ndilo la msingi auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
....lol. Ujue wakati nasoma nilikuwa bwaksi lakini nikagundua kuwa hukukutana na mimi maana mimi nilinywea nyumbani sikutoka kabisa, mambo ya indoor.Aliogopa majibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si unajua usilolijua halikuhangaishi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukimaanisha binamu.....hii ni soda ambayo kwenye vikao vya familia yule ndugu ambaye hana ukwasi anapewa bila hata kuulizwa anatumia kinywaji gani.
Asingemuuliza Auntie....[emoji23][emoji23][emoji23] Hivi binamu obe alikuuliza kweli
...unatoka kwenda zako dinner na rafiki (hata kama ni date) halafu muda wote anakuwa kwenye simu chatting and mengine. Kama kila mtu anajilipia afanye hata zaidiWazazi wanafurahi ila watoto wamenuna[emoji16]View attachment 2274517
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaa
Auntie we sio wa kunifanyia hivi
[emoji23]Balaa sana..Wakiongea wanaonana kwa glass
Anywe ataweza? Na hiyo kichwa si tutampoteza[emoji2]Kwani auntie unakunywaga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usinikumbushe aloooh unaona dunia yote yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie ukiongea vikoba nakumbuka kuwa nina deni hivi vitu usiviongee kwa sauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...unatoka kwenda zako dinner na rafiki (hata kama ni date) halafu muda wote anakuwa kwenye simu chatting and mengine. Kama kila mtu anajilipia afanye hata zaidi
Khaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie tutaongea....We' wangu..
Nikikutengenezea mimi utaipenda Auntie....Mweeeh sipendi juice ya ubuyu mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Achana na mapenzi mapya bwana[emoji23]Balaa sana..